Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 21:5, »Behold, thy King cometh...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 21:5, »Behold, thy King cometh...«

  1. Shangilia sana, ee Binti Sayuni! Piga kelele, Binti Yerusalemu! Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, ni mwenye haki, naye ana wokovu, ni mpole, naye amepanda punda, mwana-punda, mtoto wa punda.

  2. “Mwambieni Binti Sayuni, ‘Tazama, mfalme wako anakuja kwako, ni mnyenyekevu, naye amepanda punda, juu ya mwana-punda, mtoto wa punda.’ ”

  3. “Usiogope, Ewe binti Sayuni; tazama, Mfalme wako anakuja, amepanda mwana-punda!”