Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Galatians 4:27, »Rejoice, thou barren that bearest not...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Galatians 4:27, »Rejoice, thou barren that bearest not...«

  1. “Imba, ewe mwanamke tasa, wewe ambaye kamwe hukuzaa mtoto; paza sauti kwa kuimba, piga kelele kwa furaha, wewe ambaye kamwe hukupata utungu; kwa sababu watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi kuliko wa mwanamke mwenye mume,” asema Bwana.

  2. Kwa maana imeandikwa: “Furahi, ewe mwanamke tasa, wewe usiyezaa; paza sauti, na kuimba kwa furaha, wewe usiyepatwa na utungu wa kuzaa; kwa maana watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi kuliko wa mwanamke mwenye mume.”