Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 10:19, »I will provoke you to jealousy...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 10:19, »I will provoke you to jealousy...«

  1. Wamenifanya niwe na wivu kwa kile ambacho si mungu, na kunikasirisha kwa sanamu zao zisizokuwa na thamani. Nitawafanya wawaonee wivu wale ambao si taifa. Nitawafanya wakasirishwe na taifa lile lisilo na ufahamu.

  2. Nami nauliza tena: Je, Waisraeli hawakuelewa? Kwanza, Mose asema, “Nitawafanya mwe na wivu kwa watu wale ambao si taifa. Nitawakasirisha kwa taifa lile lisilo na ufahamu.”