Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Hebrews 1:10, »Thou, Lord, in the beginning hast...«

6 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Hebrews 1:10, »Thou, Lord, in the beginning hast...«

  1. Hapo mwanzo uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.

  2. Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, zote zitachakaa kama vazi. Utazibadilisha kama nguo nazo zitaondoshwa.

  3. Lakini wewe, U yeye yule, nayo miaka yako haikomi kamwe.

  4. Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.

  5. Hizo zitatoweka, lakini wewe utadumu; zote zitachakaa kama vazi.

  6. Utazikungʼutakungʼuta kama joho, nazo zitachakaa kama vazi. Lakini wewe hubadiliki, nayo miaka yako haikomi kamwe.”