Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Mark 7:10, »Honour thy father and thy mother...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Mark 7:10, »Honour thy father and thy mother...«

  1. Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.

  2. “Yeyote atakayemlaani baba yake au mama yake ni lazima auawe.

  3. Kwa maana Mungu alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’

  4. Kwa mfano, Mose alisema, ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na, ‘Yeyote amtukanaye baba yake au mama yake, na auawe.’