Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 15:21, »To whom he was not spoken of...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 15:21, »To whom he was not spoken of...«

  1. hivyo atayashangaza mataifa mengi, nao wafalme watafunga vinywa vyao kwa sababu yake. Kwa kuwa yale ambayo hawakuambiwa, watayaona, nayo yale wasiyoyasikia, watayafahamu.

  2. Lakini kama ilivyoandikwa: “Wale ambao hawajahubiriwa habari zake wataona, nao wale ambao hawajazisikia watafahamu.”