Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Hebrews 2:13, »Behold I and the children...«

3 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Hebrews 2:13, »Behold I and the children...«

  1. Nitamngojea Bwana, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake.

  2. Niko hapa, pamoja na watoto ambao Bwana amenipa. Sisi ni ishara na mfano wake katika Israeli, kutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, anayeishi juu ya Mlima Sayuni.

  3. Tena, “Nitaweka tumaini langu kwake.” Tena anasema, “Niko hapa, pamoja na watoto ambao Mungu amenipa.”