Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: John 13:18, »He that eateth bread with me...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu John 13:18, »He that eateth bread with me...«

  1. Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini, yule aliyekula chakula changu ameniinulia kisigino chake.

  2. “Sisemi hivi kuhusu ninyi nyote. Ninawajua wale niliowachagua. Lakini ni ili Andiko lipate kutimia, kwamba, ‘Yeye aliyekula chakula changu, ameinua kisigino chake dhidi yangu.’