Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 4:3, »Abraham believed God...«

4 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 4:3, »Abraham believed God...«

  1. Abramu akamwamini Bwana, naye kwake hili likahesabiwa kuwa haki.

  2. Kwa maana Maandiko yasemaje? “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”

  3. Kama vile “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki.”

  4. Kwa njia hiyo yakatimizwa yale Maandiko yasemayo, “Abrahamu alimwamini Mungu na ikahesabiwa kwake kuwa haki,” naye akaitwa rafiki wa Mungu.