Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Ephesians 4:25, »Speak every man truth with his neighbour.«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Ephesians 4:25, »Speak every man truth with his neighbour.«

  1. Haya ndiyo mtakayoyafanya: Semeni kweli kila mtu kwa mwenzake, na mtoe hukumu ya kweli na haki kwenye mahakama zenu,

  2. Kwa hiyo kila mmoja wenu avue uongo na kuambiana kweli mtu na jirani yake, kwa maana sisi sote tu viungo vya mwili mmoja.