Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Matthew 13:35, »I will open my mouth in parables...«

2 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Matthew 13:35, »I will open my mouth in parables...«

  1. Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale:

  2. Hii ilikuwa ili kutimiza lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii aliposema: “Nitafungua kinywa changu niseme nao kwa mifano; nitahubiri mambo yaliyofichika tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.”