Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Quotations and Allusions: Romans 3:10, »There is none righteous, no, not one...«

6 mistari · 252 vipengele

Mistari kuhusu Romans 3:10, »There is none righteous, no, not one...«

  1. Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Mpumbavu anasema moyoni mwake, “Hakuna Mungu.” Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; hakuna hata mmoja atendaye mema.

  2. Bwana anawachungulia wanadamu chini kutoka mbinguni aone kama wako wenye akili, wowote wanaomtafuta Mungu.

  3. Wote wamepotoka, wameharibika wote pamoja, hakuna atendaye mema. Naam, hakuna hata mmoja!

  4. Kama ilivyoandikwa: “Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja.

  5. Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu, hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu.

  6. Wote wamepotoka, wote wameoza pamoja; hakuna atendaye mema, naam, hakuna hata mmoja.”