- English
- King James KJV
- Complete Jewish CJB
- World English WEBM
- Berean Standard BSB
- American Standard ASV
- Geneva GNV
- Young's Literal YLT
- Douay-Rheims DRC
- International
- Shqip ALB
- العربية SVD
- বাংলা BN-IRV
- မြန်မာ Judson
- 简体文 CUV-S
- 繁體中文 CUV-T
- Čeština BKR
- Nederlands STVE
- Français LSG
- Deutsch SCH
- Ελληνικά Vamvas
- ગુજરાતી GU-IRV
- Hausa HCB
- עברית Hebrew
- हिन्दी HCV
- Magyar KAROLI
- Bahasa Indonesia INDO-TB
- Italiano Diodati
- 日本語 Kougo
- 한국어 Korean
- മലയാളം MAL
- मराठी MRCV
- Norsk DNB
- فارسی OPV
- Polski BG
- Português Almeida
- Română Cornilescu
- Русский Synodal
- Español RVG
- Kiswahili Neno
- Svenska SV1917
- Tagalog TAG-ADB
- தமிழ் TCV
- తెలుగు TSA
- ภาษาไทย THAI-KJV
- Українська Ohienko
- Tiếng Việt CADMAN
- Yorùbá YCB
Creation Era
The Tower of Babel
Scattered nations and confused languages mark the beginning of the diversity of peoples across the earth.
Mistari ya kipindi hiki
- Mwanzo 11:19takriban 2008 KK
Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 11:20takriban 2185 KK
Reu alipokuwa na miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi.
- Mwanzo 11:21takriban 1978 KK
Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 11:22takriban 2155 KK
Serugi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Nahori.
- Mwanzo 11:23takriban 1955 KK
Baada ya Serugi kumzaa Nahori, aliishi miaka 200, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 11:24takriban 2126 KK
Nahori alipokuwa na miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera.
- Mwanzo 11:25takriban 2007 KK
Baada ya Nahori kumzaa Tera, aliishi miaka 119, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 11:26takriban 2056 KK
Tera alipokuwa na miaka sabini, akamzaa Abramu, Nahori na Harani.
- Mwanzo 11:27takriban 1996 KK
Hawa ndio wazao wa Tera. Tera aliwazaa Abramu, Nahori na Harani. Harani akamzaa Loti.
- Mwanzo 11:28takriban 1996 KK
Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa.
- Mwanzo 11:29takriban 1996 KK
Abramu na Nahori walioa. Mke wa Abramu aliitwa Sarai, na mke wa Nahori aliitwa Milka; Milka na Iska walikuwa watoto wa Harani.
- Mwanzo 11:30takriban 1996 KK
Sarai alikuwa tasa, hakuwa na watoto.
- Mwanzo 11:31takriban 1926 KK
Tera akamchukua Abramu mwanawe, Loti mwana wa Harani mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka kwa pamoja katika Uru ya Wakaldayo kwenda nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani, wakaishi huko.
- Mwanzo 11:32takriban 1921 KK
Tera alikufa huko Harani akiwa na miaka 205.