Skip to content

Peleg

8 mistari · 3 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Phalec

Mistari inayomtaja Peleg

  1. Eberi akapata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

  2. Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi.

  3. Baada ya Eberi kumzaa Pelegi, aliishi miaka 430, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  4. Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu.

  5. Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  6. Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

  7. Eberi, Pelegi, Reu,

  8. Nahori alikuwa mwana wa Serugi, Serugi alikuwa mwana wa Reu, Reu alikuwa mwana wa Pelegi, Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, Eberi alikuwa mwana wa Sala,