Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Joktan

4 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Eberi akapata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

  2. Yoktani alikuwa baba wa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,

  3. Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

  4. Wana wa Yoktani walikuwa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera,