Skip to content

Eber

12 mistari · 3 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Heber

Mistari inayomtaja Eber

  1. Shemu ambaye ni ndugu mkubwa wa Yafethi, kwake kulizaliwa wana pia. Shemu alikuwa baba wa wana wote wa Eberi.

  2. Arfaksadi alikuwa baba wa Shela, naye Shela akamzaa Eberi.

  3. Eberi akapata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake ndipo dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

  4. Shela alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Eberi.

  5. Shela baada ya kumzaa Eberi, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  6. Eberi alipokuwa na miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi.

  7. Baada ya Eberi kumzaa Pelegi, aliishi miaka 430, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  8. Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, zitaitiisha Ashuru na Eberi, lakini nao pia wataangamizwa.”

  9. Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

  10. Eberi alipata wana wawili: Mmoja wao aliitwa Pelegi, kwa kuwa wakati wake dunia iligawanyika; nduguye aliitwa Yoktani.

  11. Eberi, Pelegi, Reu,

  12. Nahori alikuwa mwana wa Serugi, Serugi alikuwa mwana wa Reu, Reu alikuwa mwana wa Pelegi, Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, Eberi alikuwa mwana wa Sala,