Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Ragau

6 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Pelegi alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Reu.

  2. Baada ya Pelegi kumzaa Reu, aliishi miaka 209, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  3. Reu alipokuwa na miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi.

  4. Baada ya Reu kumzaa Serugi, aliishi miaka 207, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  5. Eberi, Pelegi, Reu,

  6. Nahori alikuwa mwana wa Serugi, Serugi alikuwa mwana wa Reu, Reu alikuwa mwana wa Pelegi, Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, Eberi alikuwa mwana wa Sala,