Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Salah

8 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Arfaksadi alikuwa baba wa Shela, naye Shela akamzaa Eberi.

  2. Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela.

  3. Baada ya Arfaksadi kumzaa Shela, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  4. Shela alipokuwa na miaka thelathini, akamzaa Eberi.

  5. Shela baada ya kumzaa Eberi, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.

  6. Arfaksadi akamzaa Shela, Shela akamzaa Eberi.

  7. Wana wa Shemu walikuwa Arfaksadi, Shela,

  8. Nahori alikuwa mwana wa Serugi, Serugi alikuwa mwana wa Reu, Reu alikuwa mwana wa Pelegi, Pelegi alikuwa mwana wa Eberi, Eberi alikuwa mwana wa Sala,