Asshur
Anajulikana pia kama: Assur
36.3500, 43.1500 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Asshur
Hata hivyo ninyi Wakeni mtaangamizwa Ashuru atakapowachukua mateka.”
Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, zitaitiisha Ashuru na Eberi, lakini nao pia wataangamizwa.”
Hata Ashuru wameungana nao kuwapa nguvu wazao wa Loti.
“ ‘Harani, Kane na Edeni na wafanyabiashara wa Sheba, Ashuru na Kilmadi walifanya biashara nawe.