- English
- King James KJV
- Complete Jewish CJB
- World English WEBM
- Berean Standard BSB
- American Standard ASV
- Geneva GNV
- Young's Literal YLT
- Douay-Rheims DRC
- International
- Shqip ALB
- العربية SVD
- বাংলা BN-IRV
- မြန်မာ Judson
- 简体文 CUV-S
- 繁體中文 CUV-T
- Čeština BKR
- Nederlands STVE
- Français LSG
- Deutsch SCH
- Ελληνικά Vamvas
- ગુજરાતી GU-IRV
- Hausa HCB
- עברית Hebrew
- हिन्दी HCV
- Magyar KAROLI
- Bahasa Indonesia INDO-TB
- Italiano Diodati
- 日本語 Kougo
- 한국어 Korean
- മലയാളം MAL
- मराठी MRCV
- Norsk DNB
- فارسی OPV
- Polski BG
- Português Almeida
- Română Cornilescu
- Русский Synodal
- Español RVG
- Kiswahili Neno
- Svenska SV1917
- Tagalog TAG-ADB
- தமிழ் TCV
- తెలుగు TSA
- ภาษาไทย THAI-KJV
- Українська Ohienko
- Tiếng Việt CADMAN
- Yorùbá YCB
Creation Era
Creation & The Fall
God creates the heavens and earth, forming humanity in his image before sin enters the world.
Mistari ya kipindi hiki
- Mwanzo 4:21takriban 4003 KK
Kaka yake aliitwa Yubali, aliyekuwa baba wa wote wapigao zeze na filimbi.
- Mwanzo 4:22takriban 4003 KK
Pia Sila alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Tubali-Kaini ambaye alifua vifaa vya aina mbalimbali vya shaba na chuma. Naama alikuwa dada wa Tubali-Kaini.
- Mwanzo 4:23takriban 4003 KK
Lameki akawaambia wake zake, “Ada na Sila nisikilizeni mimi; wake wa Lameki sikieni maneno yangu. Nimemuua mtu kwa kunijeruhi, kijana mdogo kwa kuniumiza.
- Mwanzo 4:24takriban 4003 KK
Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”
- Mwanzo 4:25takriban 4003 KK
Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita Sethi, akisema, “Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Abeli, kwa kuwa Kaini alimuua.”
- Mwanzo 4:26takriban 3769 KK
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Bwana.
Hii ni orodha iliyoandikwa ya vizazi vya Adamu. Wakati Mungu alipomuumba Adamu, alimfanya kwa sura ya Mungu.
Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “mwanadamu.”
- Mwanzo 5:3takriban 3874 KK
Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, alikuwa na mwana aliyekuwa na sura yake, mwenye kufanana naye. Akamwita Sethi.
- Mwanzo 5:4takriban 3874 KK
Baada ya Sethi kuzaliwa, Adamu aliishi miaka 800, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:5takriban 3074 KK
Adamu aliishi jumla ya miaka 930, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:6takriban 3769 KK
Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.
- Mwanzo 5:7takriban 3769 KK
Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:8takriban 2962 KK
Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:9takriban 3679 KK
Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.
- Mwanzo 5:10takriban 3679 KK
Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:11takriban 2864 KK
Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:12takriban 3609 KK
Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.
- Mwanzo 5:13takriban 3609 KK
Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:14takriban 2769 KK
Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:15takriban 3544 KK
Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.
- Mwanzo 5:16takriban 3544 KK
Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:17takriban 2714 KK
Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:18takriban 3382 KK
Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki.
- Mwanzo 5:19takriban 3382 KK
Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.