- English
- King James KJV
- Complete Jewish CJB
- World English WEBM
- Berean Standard BSB
- American Standard ASV
- Geneva GNV
- Young's Literal YLT
- Douay-Rheims DRC
- International
- Shqip ALB
- العربية SVD
- বাংলা BN-IRV
- မြန်မာ Judson
- 简体文 CUV-S
- 繁體中文 CUV-T
- Čeština BKR
- Nederlands STVE
- Français LSG
- Deutsch SCH
- Ελληνικά Vamvas
- ગુજરાતી GU-IRV
- Hausa HCB
- עברית Hebrew
- हिन्दी HCV
- Magyar KAROLI
- Bahasa Indonesia INDO-TB
- Italiano Diodati
- 日本語 Kougo
- 한국어 Korean
- മലയാളം MAL
- मराठी MRCV
- Norsk DNB
- فارسی OPV
- Polski BG
- Português Almeida
- Română Cornilescu
- Русский Synodal
- Español RVG
- Kiswahili Neno
- Svenska SV1917
- Tagalog TAG-ADB
- தமிழ் TCV
- తెలుగు TSA
- ภาษาไทย THAI-KJV
- Українська Ohienko
- Tiếng Việt CADMAN
- Yorùbá YCB
Creation Era
Creation & The Fall
God creates the heavens and earth, forming humanity in his image before sin enters the world.
Mistari ya kipindi hiki
- Mwanzo 5:20takriban 3382 KK
Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:21takriban 3317 KK
Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.
- Mwanzo 5:22takriban 3317 KK
Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:23takriban 3017 KK
Enoki aliishi jumla ya miaka 365.
- Mwanzo 5:24takriban 3017 KK
Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.
- Mwanzo 5:25takriban 3130 KK
Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.
- Mwanzo 5:26takriban 3130 KK
Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:27takriban 2348 KK
Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:28takriban 2948 KK
Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana.
- Mwanzo 5:29takriban 2948 KK
Akamwita jina lake Noa, akasema, “Yeye ndiye atakayetufariji katika kazi na maumivu makali ya mikono yetu yaliyosababishwa na ardhi iliyolaaniwa na Bwana.”
- Mwanzo 5:30takriban 2948 KK
Baada ya Noa kuzaliwa, Lameki aliishi miaka 595, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
- Mwanzo 5:31takriban 2353 KK
Lameki aliishi jumla ya miaka 777, ndipo akafa.
- Mwanzo 5:32takriban 2448 KK
Baada ya Noa kuishi miaka 500, aliwazaa Shemu, Hamu na Yafethi.