Rukia maudhui

Mahalaleel

7 mistari · 2 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Maleleel

Mistari inayomtaja Mahalaleel

  1. Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.

  2. Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  3. Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.

  4. Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  5. Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.

  6. Kenani, Mahalaleli, Yaredi,

  7. Lameki alikuwa mwana wa Methusela, Methusela alikuwa mwana wa Enoki, Enoki alikuwa mwana wa Yaredi, Yaredi alikuwa mwana wa Mahalaleli, Mahalaleli alikuwa mwana wa Kenani,