Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Jared

5 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.

  2. Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  3. Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, akamzaa Enoki.

  4. Baada ya kumzaa Enoki, Yaredi aliishi miaka 800, naye akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  5. Yaredi aliishi jumla ya miaka 962, ndipo akafa.