Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Mahalaleel

6 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.

  2. Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  3. Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.

  4. Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.

  5. Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  6. Mahalaleli aliishi jumla ya miaka 895, ndipo akafa.