Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Cainan

7 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.

  2. Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  3. Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.

  4. Kenani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli.

  5. Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  6. Kenani aliishi jumla ya miaka 910, ndipo akafa.

  7. Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Yaredi.