Skip to content

Enos

8 mistari · 2 wanafamilia

Anajulikana pia kama: Enosh

Mistari inayomtaja Enos

  1. Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la Bwana.

  2. Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.

  3. Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  4. Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.

  5. Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  6. Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.

  7. Adamu, Sethi, Enoshi,

  8. Kenani alikuwa mwana wa Enoshi, Enoshi alikuwa mwana wa Sethi, Sethi alikuwa mwana wa Adamu, Adamu alikuwa mwana wa Mungu.