Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Enos

6 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi.

  2. Baada ya kumzaa Enoshi, Sethi aliishi miaka 807, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  3. Sethi aliishi jumla ya miaka 912, ndipo akafa.

  4. Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani.

  5. Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815, naye alikuwa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  6. Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa.