Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Planting

3 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu Planting

  1. Huangalia shamba na kulinunua, kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu.

  2. Hukata miti ya mierezi, huchukua mtiriza au mwaloni. Huuacha ukue miongoni mwa miti ya msituni, au hupanda msunobari, nayo mvua huufanya ukue.

  3. Utapanda tena shamba la mizabibu juu ya vilima vya Samaria, wakulima watapanda na kufurahia matunda yake.