Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Threshing
Mistari kuhusu Threshing
Usimfunge maksai kinywa anapopura nafaka.
Malaika wa Bwana akaja akaketi chini ya mti wa mwaloni huko Ofra, ambao ulikuwa mali ya Yoashi, Mwabiezeri, ambako Gideoni mwanawe alikuwa akipepeta ngano penye shinikizo la kukamulia zabibu, ili kuificha Wamidiani wasiione.