Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Diligence in, abundantly recompensed

4 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu Diligence in, abundantly recompensed

  1. Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili.

  2. Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, bali dhuluma hukifutilia mbali.

  3. Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha.

  4. Ardhi ile ipokeayo mvua inyeshayo juu yake mara kwa mara hutoa mazao yanayowanufaisha wale ambao kwa ajili yao yalimwa, nayo nchi hiyo hupokea baraka kutoka kwa Mungu.