Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Manuring

3 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu Manuring

  1. Mkono wa Bwana utatulia juu ya mlima huu, bali Moabu atakanyagwa chini kama majani makavu yakanyagwavyo kwenye shimo la mbolea.

  2. “Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena?

  3. Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje. “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”