Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Culture of the heart

2 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu Culture of the heart

  1. Hili ndilo asemalo Bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, wala msipande katikati ya miiba.

  2. Jipandieni wenyewe haki, vuneni matunda ya upendo usio na kikomo, vunjeni ardhi yenu isiyolimwa; kwa kuwa ni wakati wa kumtafuta Bwana, mpaka atakapokuja na kuwanyeshea juu yenu haki.