Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Not to be engaged in during the Sabbatical year

2 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu Not to be engaged in during the Sabbatical year

  1. “Kwa muda wa miaka sita mtapanda mashamba yenu na kuvuna mazao,

  2. lakini katika mwaka wa saba usiilime ardhi wala kuitumia, ili watu walio maskini miongoni mwenu waweze kupata chakula kutoka kwenye hayo mashamba, nao wanyama pori wapate chakula kwa yale mabaki watakayobakiza. Utafanya hivyo katika shamba lako la mizabibu na la mizeituni.