Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Climate of Canaan favourable to
Mistari kuhusu Climate of Canaan favourable to
Nchi mnayoiingia kuimiliki haifanani na nchi ya Misri mlikotoka ambako mlipanda mbegu yenu na kuinywesha, kama bustani ya mboga.
Lakini nchi mnayovuka Yordani kuimiliki ni nchi ya milima na mabonde inywayo mvua kutoka mbinguni.