Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Peace favourable to

2 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu Peace favourable to

  1. Atahukumu kati ya mataifa na ataamua migogoro ya mataifa mengi. Watafua panga zao ziwe majembe, na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, wala hawatajifunza vita tena.

  2. Watu wataishi pamoja katika Yuda na miji yake yote, wakulima na wote wanaohamahama na mifugo yao.