Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: The promises of God's blessings on

4 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu The promises of God's blessings on

  1. nitawanyeshea mvua katika majira yake, nayo ardhi itatoa mazao yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.

  2. Atawapenda ninyi na kuwabariki na kuongeza idadi yenu. Atabariki uzao wa tumbo lenu, mazao ya nchi yenu, nafaka, divai mpya na mafuta, ndama za ngʼombe wa makundi yenu, na kondoo za makundi yenu katika nchi ile aliyoapa kuwapa baba zenu.

  3. ndipo atawanyweshea mvua katika nchi yenu kwa majira yake, mvua ya masika na ya vuli, ili mpate kuvuna nafaka zenu, divai mpya na mafuta.

  4. Nitawapa majani kwa ajili ya ngʼombe wenu, nanyi mtakula na kushiba.