Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: The pruning-hook

2 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu The pruning-hook

  1. Kwa maana, kabla ya mavuno, wakati wa kuchanua ukishapita na maua yakawa zabibu zinazoiva, atayakata machipukizi kwa mundu wa kupogolea matawi, naye atakata na kuyaondoa matawi yaliyopanuka.

  2. Majembe yenu yafueni yawe panga na miundu yenu ya kukatia iwe mikuki. Aliye dhaifu na aseme, “Mimi nina nguvu!”