Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Diligence

6 mistari · 75 vipengele

Mistari kuhusu Diligence

  1. Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako ya kondoo na mbuzi, angalia kwa bidii ngʼombe zako.

  2. Kwa kuwa utajiri haudumu milele, nayo taji haidumu vizazi vyote.

  3. Wakati majani makavu yameondolewa na mapya yamechipua, nayo majani toka milimani yamekusanywa,

  4. wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba.

  5. Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha watumishi wako wa kike.

  6. Panda mbegu yako asubuhi, nako jioni usiruhusu mikono yako ilegee, kwa maana hujui ni ipi itakayofanikiwa, kwamba ni hii au ni ile, au kwamba zote zitafanikiwa sawasawa.