Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: The sickle
Mistari kuhusu The sickle
Mhesabu majuma saba tangu wakati mnapoanza kuchukua mundu kuvuna nafaka.
Kama ukiingia katika shamba la nafaka la jirani yako, unaweza kukwanyua kwa mikono yako, lakini usikate kwa mundu nafaka iliyosimama.