Mistari ya Biblia kuhusu Agriculture or Husbandry: Not to move landmarks
Mistari kuhusu Not to move landmarks
Usisogeze jiwe la mpaka wa jirani yako ambao uliwekwa na wale waliokutangulia katika urithi upokeao katika nchi Bwana Mungu wako anayowapa kuimiliki.
Usisogeze jiwe la mpaka wa zamani lililowekwa na baba zako.