Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Prayer: »Lord's Prayer«

8 mistari · 120 vipengele

Mistari kuhusu »Lord's Prayer«

  1. “Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe.

  2. Ufalme wako uje. Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.

  3. Utupatie riziki yetu ya kila siku.

  4. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tulivyokwisha kuwasamehe wadeni wetu.

  5. Usitutie majaribuni, bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amen].’

  6. Akawaambia, “Mnapoomba, semeni: “ ‘Baba yetu (uliye mbinguni), jina lako litukuzwe, ufalme wako uje. (Mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.)

  7. Utupatie kila siku riziki yetu.

  8. Utusamehe dhambi zetu, kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea. Wala usitutie majaribuni (bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ ”