Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prayer: With the spirit and understanding

4 mistari · 120 vipengele

Mistari kuhusu With the spirit and understanding

  1. Ninyi Wasamaria mnaabudu msichokijua. Sisi Wayahudi tunamwabudu Mungu tunayemjua kwa sababu wokovu unatoka kwa Wayahudi.

  2. Lakini saa yaja, tena ipo, ambapo wale waabuduo halisi, watamwabudu Baba katika roho na kweli. Watu wanaoabudu namna hii, ndio Baba anawatafuta.

  3. Mungu ni Roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”

  4. Nifanyeje basi? Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu. Nitaimba kwa roho na nitaimba kwa akili yangu pia.