Mistari ya Biblia kuhusu Prayer: With the whole heart
Mistari kuhusu With the whole heart
Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote, nihurumie sawasawa na ahadi yako.
Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote, nami nitayatii maagizo yako.