Mistari ya Biblia kuhusu Prayer: Weeping in prayer
Mistari kuhusu Weeping in prayer
Wakati Ezra alipokuwa anaomba na kuungama, huku akilia na kujitupa chini mbele ya nyumba ya Mungu, umati mkubwa wa Waisraeli, wanaume, wanawake na watoto walikusanyika kumzunguka. Nao pia wakalia sana.