Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Prayer: With desire to be answered

4 mistari · 120 vipengele

Mistari kuhusu With desire to be answered

  1. Isikie sauti yangu nikuitapo, Ee Bwana, unihurumie na unijibu.

  2. Usinifiche uso wako ninapokuwa katika shida. Unitegee sikio lako, ninapoita, unijibu kwa upesi.

  3. Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume, ili wale uwapendao wapate kuokolewa.

  4. Zaburi ya Daudi. Ee Bwana, sikia sala yangu, sikiliza kilio changu unihurumie; katika uaminifu na haki yako njoo unisaidie.