Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Visits Assos, Mitylene, Chios, Samos, Trogyllium, and Miletus, hastening to Jerusalem, to be there at Pentecost

4 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Visits Assos, Mitylene, Chios, Samos, Trogyllium, and Miletus, hastening to Jerusalem, to be there at Pentecost

  1. Tukatangulia melini tukasafiri mpaka Aso ambako tungempakia Paulo. Alikuwa amepanga hivyo kwa maana alitaka kufika kwa miguu.

  2. Alipotukuta huko Aso, tulimpakia melini, tukasafiri wote mpaka Mitilene.

  3. Kutoka huko tuliendelea kwa njia ya bahari, na kesho yake tukafika mahali panapokabili Kio. Siku iliyofuata tukavuka kwenda Samo, na kesho yake tukawasili Mileto.

  4. Paulo alikuwa ameamua tusipitie Efeso ili asitumie muda mwingi huko sehemu za Asia, kwa sababu alikuwa anatamani kama ikiwezekana kufika Yerusalemu kabla ya siku ya Pentekoste.