Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Goes through Phrygia and Galatia; is forbidden by the Holy Ghost to preach in Asia; visits Mysia; essays to go to Bithynia, but is restrained by the Spirit; goes to Troas, where he has a vision of a man saying, »Come over into Macedonia, and help us;« imm

5 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Goes through Phrygia and Galatia; is forbidden by the Holy Ghost to preach in Asia; visits Mysia; essays to go to Bithynia, but is restrained by the Spirit; goes to Troas, where he has a vision of a man saying, »Come over into Macedonia, and help us;« imm

  1. Paulo pamoja na wenzake wakasafiri sehemu za Frigia na Galatia, kwa kuwa Roho Mtakatifu hakuwaruhusu kulihubiri neno huko Asia.

  2. Walipofika mpaka wa Misia, wakajaribu kuingia Bithinia lakini Roho wa Yesu hakuwaruhusu.

  3. Kwa hiyo wakapita Misia, wakafika Troa.

  4. Wakati wa usiku Paulo akaona maono, mtu wa Makedonia amesimama akimsihi, “Vuka uje huku Makedonia utusaidie.”

  5. Baada ya Paulo kuona maono haya, tulijiandaa kwa haraka kuondoka kwenda Makedonia tukiwa tumesadiki kuwa Mungu alikuwa ametuita kuhubiri habari njema huko.