Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Escapes by being let down from the wall in a basket; goes to Jerusalem

4 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Escapes by being let down from the wall in a basket; goes to Jerusalem

  1. Lakini wafuasi wake wakamchukua usiku wakamshusha akiwa ndani ya kapu kupitia mahali penye nafasi ukutani.

  2. Sauli alipofika Yerusalemu akajaribu kujiunga na wanafunzi lakini wote walimwogopa, kwa maana hawakuamini kwamba kweli naye alikuwa mwanafunzi.

  3. Kisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa na nilikaa naye siku kumi na tano.

  4. Lakini sikumwona mtume mwingine yeyote isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.