Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Transferred to a ship of Alexandria; sails by way of Cnidus, Crete, Salamis, and the Fair Havens

3 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Transferred to a ship of Alexandria; sails by way of Cnidus, Crete, Salamis, and the Fair Havens

  1. Huko yule kiongozi wa askari akapata meli ya Iskanderia ikielekea Italia, akatupandisha humo.

  2. Tukasafiri polepole kwa siku nyingi na kwa shida, hatimaye tukafika karibu na Nido. Kwa kuwa upepo wa mbisho ulituzuia tusiweze kushika mwelekeo tuliokusudia, tukapita chini ya Krete mkabala na Salmone.

  3. Tukaambaa na pwani kwa shida, tukafika sehemu iitwayo Bandari Nzuri, karibu na mji wa Lasea.