Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Paul: Chooses Silas as his companion, and passes through Syria and Cilicia, confirming the churches

6 mistari · 103 vipengele

Mistari kuhusu Chooses Silas as his companion, and passes through Syria and Cilicia, confirming the churches

  1. Baada ya muda, Paulo akamwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee ndugu katika miji yote tuliyohubiri neno la Bwana tuone jinsi wanavyoendelea.”

  2. Barnaba alitaka wamchukue Yohana aitwaye Marko waende naye.

  3. Lakini Paulo aliona si vyema kwa sababu aliwahi kuwaacha walipokuwa huko Pamfilia, hakutaka kuendelea kufanya kazi naye.

  4. Pakatokea ubishi mkali kati ya Paulo na Barnaba kuhusu jambo hili, hivyo wakagawanyika. Barnaba akamchukua Yohana Marko wakasafiri baharini kwenda Kipro.

  5. Lakini Paulo akamchagua Sila na akaondoka baada ya ndugu kuwatakia neema ya Bwana.

  6. Akapitia Shamu na Kilikia, akiimarisha makanisa ya huko.